\v=11 \v~=Naye akaweka nadhiri, akisema, “Ee \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, laiti ungeangalia huzuni kuu ya mtumishi wako na kunikumbuka mimi, wala usimsahau mtumishi wako nawe ukampa mwana, basi huyo mwana nitamtoa kwa \nd Bwana\nd* kwa siku zote za maisha yake, wala wembe hautapita kichwani mwake.” \¬v \¬p