\p \v=19 \v~=Kesho yake asubuhi na mapema waliamka wakaabudu mbele za \nd Bwana\nd* na kisha wakarudi nyumbani kwao huko Rama. Elikana akakutana kimwili na mkewe Hana, naye \nd Bwana\nd* akamkumbuka. \¬v