\v=20 \v~=Hivyo wakati ulipotimia, Hana akapata mimba na akamzaa mwana. Hana akamwita jina lake Samweli, akasema, “Kwa kuwa nilimwomba kwa \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p