\v=22 \v~=Hana hakwenda. Alimwambia mume wake, “Baada ya mtoto kuachishwa kunyonya, nitamchukua na kumpeleka mbele za \nd Bwana\nd*, naye ataishi huko wakati wote.” \¬v \¬p