\p \v=24 \v~=Baada ya mtoto kuachishwa kunyonya, Hana akamchukua huyo mtoto, akiwa mdogo hivyo hivyo, pamoja na fahali wa miaka mitatu, efa ya unga\f + \fr 1:24 \ft Efa moja ya unga ni sawa na kilo 22.\f* na kiriba cha divai, naye akamleta mtoto kwenye nyumba ya \nd Bwana\nd* huko Shilo. \¬v