\v=7 \v~=Hili liliendelea mwaka baada ya mwaka. Kila mara Hana alipokwenda katika nyumba ya \nd Bwana\nd*, mke mwenzake alikuwa akimkasirisha mpaka analia na kushindwa kula. \¬v