\p \v=12 \v~=Kisha Yonathani akamwambia Daudi, “Ninakuahidi kwa jina la \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, hakika nitamchunguza baba yangu wakati kama huu kesho kutwa! Kama ameweka utaratibu wa kufaa kukuhusu wewe, je, sitakutumia ujumbe na kukufahamisha? \¬v