\v=13 \v~=Lakini ikiwa baba yangu amenuia kukudhuru, \nd Bwana\nd* na anishughulikie kwa ukali, iwapo sitakufahamisha na kukuaga uende salama. \nd Bwana\nd* na awe pamoja nawe kama alivyokuwa pamoja na baba yangu. \¬v