\v=21 \v~=Kisha nitamtuma mvulana na kumwambia, ‘Nenda ukaitafute mishale.’ Kama nikimwambia, ‘Tazama mishale iko upande huu wako! Uilete hapa,’ basi uje, kwa sababu hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo, wewe ni salama, hakuna hatari. \¬v