\p \v=3 \v~=Lakini Daudi akaapa na kusema, “Baba yako anajua kabisa kwamba nimepata kibali mbele yako, naye amesema moyoni mwake, ‘Yonathani sharti asilijue hili, la sivyo atahuzunika.’ Lakini kweli kama \nd Bwana\nd* aishivyo na kama uishivyo, kuna hatua moja tu kati yangu na mauti.” \¬v \¬p