\p \v=32 \v~=Yonathani akamuuliza baba yake, “Kwa nini auawe? Kwani amefanya nini?” \¬v