\v=6 \v~=Hivyo kuhani akampa ile mikate iliyowekwa wakfu, kwa kuwa hapakuwepo mikate mingine isipokuwa hiyo ya Wonyesho iliyokuwa imeondolewa hapo mbele za \nd Bwana\nd* na kubadilishwa na mingine yenye moto siku ile ilipoondolewa. \¬v \¬p