\p \v=7 \v~=Basi siku hiyo palikuwepo na mmoja wa watumishi wa Sauli, aliyezuiliwa mbele za \nd Bwana\nd*; alikuwa Doegi Mwedomu, kiongozi wa wachunga wanyama wa Sauli. \¬v \¬p