\v=10 \v~=Daudi akasema, “Ee \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, mtumishi wako amesikia kwa hakika kwamba Sauli anapanga kuja Keila na kuangamiza mji kwa ajili yangu. \¬v