\v=18 \v~=Wote wawili wakaweka agano mbele za \nd Bwana\nd*. Kisha Yonathani akaenda zake nyumbani, lakini Daudi akabaki Horeshi. \¬v \¬p