\v=28 \v~=Ndipo Sauli akarudi akaacha kumfuata Daudi na kwenda kukabiliana na Wafilisti. Ndiyo sababu wanaiita sehemu hii Sela-Hamalekothi.\f + \fr 23:28 \ft Sela-Hamalekothi maana yake Mwamba wa Kutengana.\f* \¬v