\p \v=4 \v~=Daudi akauliza kwa \nd Bwana\nd* tena, naye \nd Bwana\nd* akamjibu akamwambia, “Shuka uende Keila, kwa kuwa nitawatia Wafilisti mkononi mwako.” \¬v