\v=10 \v~=Leo umeona kwa macho yako mwenyewe jinsi \nd Bwana\nd* alivyokutia mikononi mwangu huko pangoni. Watu wengine walisisitiza nikuue, lakini nilikuacha, nikisema, ‘Sitainua mkono wangu dhidi ya bwana wangu, kwa sababu yeye ni mpakwa mafuta wa \nd Bwana\nd*.’ \¬v