\v=15 \v~=\nd Bwana\nd* na awe mwamuzi wetu, yeye na aamue kati yetu. Yeye na anitetee shauri langu; anihesabie haki kwa kuniokoa mkononi mwako.” \¬v \¬p