\v=19 \v~=Je, mtu ampatapo adui yake, humwacha aende zake bila kumdhuru? \nd Bwana\nd* na akulipe mema kwa jinsi ulivyonitenda leo. \¬v