\v=4 \v~=Watu wa Daudi wakasema, “Hii ndiyo siku aliyonena \nd Bwana\nd* akikuambia, ‘Nitamtia adui yako mikononi mwako ili wewe umtendee utakavyo.’ ” Basi Daudi akanyemelea bila kuonekana na kukata upindo wa joho la Sauli. \¬v \¬p