\v=6 \v~=Akawaambia watu wake, “\nd Bwana\nd* na apishie mbali nisije nikafanya jambo kama hilo kwa bwana wangu, yeye ambaye ni mpakwa mafuta wa \nd Bwana\nd*, au kuinua mkono wangu dhidi yake; kwani yeye ni mpakwa mafuta wa \nd Bwana\nd*.” \¬v