\p \v=26 \v~=“Basi sasa, kwa kuwa \nd Bwana\nd* amekuzuia, wewe bwana wangu, kutokumwaga damu na kutolipiza kisasi kwa mikono yako mwenyewe, hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo na kama uishivyo, maadui zako na wote wanaokusudia kumdhuru bwana wangu wawe kama Nabali. \¬v