\p \v=32 \v~=Daudi akamwambia Abigaili, “Ahimidiwe \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli aliyekutuma kunilaki leo. \¬v