\p \v=39 \v~=Daudi aliposikia kwamba Nabali amekufa, akasema, “Ahimidiwe \nd Bwana\nd*, ambaye amenitetea shauri langu dhidi ya Nabali kwa kuwa alinitendea kwa dharau. Amemzuia mtumishi wake asitende mabaya na \nd Bwana\nd* ameuleta ubaya wa Nabali juu ya kichwa chake mwenyewe.” \¬p \p \p~<