\v=10 \v~=Daudi akasema, “Hakika kama vile \nd Bwana\nd* aishivyo, \nd Bwana\nd* mwenyewe atampiga; au wakati wake utafika, naye atakufa, au atakwenda vitani na kuangamia. \¬v