\v=16 \v~=Ulichokifanya si kizuri. Kwa hakika kama aishivyo \nd Bwana\nd*, wewe na watu wako mnastahili kufa, kwa sababu hamkumlinda bwana wenu, mpakwa mafuta wa \nd Bwana\nd*. Tazameni hapo mlipo. Uko wapi mkuki wa mfalme na gudulia la maji ambavyo vilikuwa karibu na kichwa chake?” \¬v \¬p