\v=23 \v~=\nd Bwana\nd* humlipa kila mtu kwa ajili ya haki yake na uaminifu wake. \nd Bwana\nd* alikutia katika mikono yangu leo, lakini sikuinua mkono wangu juu ya mpakwa mafuta wa \nd Bwana\nd*. \¬v