\p \v=9 \v~=Lakini Daudi akamwambia Abishai, “Usimwangamize! Ni nani awezaye kutia mkono juu ya mpakwa mafuta wa \nd Bwana\nd* na asiwe na hatia?” \¬v