\v=17 \v~=\nd Bwana\nd* ametenda lile alilotangulia kusema kupitia kwangu. \nd Bwana\nd* ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, naye amempa mmoja wa jirani zako, yaani Daudi. \¬v