\v=18 \v~=Kwa sababu wewe hukumtii \nd Bwana\nd*, wala hukumtimizia ghadhabu yake kali juu ya Waamaleki, \nd Bwana\nd* amekutendea mambo haya leo. \¬v