\v=5 \v~=Sauli alipoona jeshi la Wafilisti, akaogopa; moyo wake ukajawa na hofu kuu. \¬v