\v=6 \v~=Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa \nd Bwana\nd*, lakini \nd Bwana\nd* hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu,\f + \fr 28:6 \ft Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha juu cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha.\f* wala kwa njia ya manabii. \¬v