\p \v=6 \v~=Basi Akishi akamwita Daudi na kumwambia, “Kama vile \nd Bwana\nd* aishivyo, wewe umekuwa mtu mwaminifu, nami ningependa utumike pamoja nami katika jeshi. Tangu siku ile uliyofika kwangu hadi sasa, sijaona kosa lolote kwako, lakini hao watawala hawakukubali. \¬v