\p \v=17 \v~=Hii Dhambi ya hawa vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa \nd Bwana\nd*, kwa kuwa waliitendea dhabihu ya \nd Bwana\nd* kwa dharau. \¬v \¬p