\p \v=18 \v~=Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za \nd Bwana\nd*, kijana akivaa kisibau cha kitani. \¬v