\v=20 \v~=Eli alikuwa akiwabariki Elikana na mkewe, akisema, “\nd Bwana\nd* na akupe watoto kwa mwanamke huyu ili kuchukua nafasi ya yule aliyekuwa amemwomba na akamtoa kwa \nd Bwana\nd*.” Kisha wakawa wanakwenda nyumbani. \¬v