\v=21 \v~=\nd Bwana\nd* akawa mwenye neema kwa Hana, naye akapata mimba akazaa wana watatu na binti wawili. Wakati huo, kijana Samweli akaendelea kukua mbele za \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p