\p \v=26 \v~=Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza \nd Bwana\nd* na wanadamu. \¬v \¬p