\p \v=17 \v~=Eli akamuuliza, “Ni nini alichokuambia? Usinifiche. \nd Bwana\nd* na ashughulike nawe, tena kwa ukali, kama utanificha chochote alichokuambia.” \¬v