\v=18 \v~=Kwa hiyo Samweli akamwambia kila kitu, bila kumficha chochote. Ndipo Eli akasema, “Yeye ni \nd Bwana\nd*; na afanye lile lililo jema machoni pake!” \¬v \¬p