\v=20 \v~=Nao Israeli wote kuanzia Dani hadi Beer-Sheba wakatambua kuwa Samweli amethibitishwa kuwa nabii wa \nd Bwana\nd*. \¬v