\p \v=6 \v~=\nd Bwana\nd* akaita tena, “Samweli!” Naye Samweli akaamka, kwenda kwa Eli na kusema, “Mimi hapa, kwa kuwa umeniita.” \¬p \p \p~<