\p \v=7 \v~=Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua \nd Bwana\nd*. Neno la \nd Bwana\nd* lilikuwa bado halijafunuliwa kwake. \¬v \¬p