\p \v=21 \v~=Alimwita yule mtoto Ikabodi,\f + \fr 4:21 \ft Ikabodi maana yake Utukufu wa \+nd Bwana\+nd* umeondoka.\f* akisema, “Utukufu umeondoka katika Israeli,” kwa sababu ya kutekwa kwa Sanduku la Mungu na vifo vya baba mkwe na mumewe. \¬v