\p \v=5 \v~=Wakati Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd* lilikuja kambini, Waisraeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu hata ardhi ikatikisika. \¬v