\v=3 \v~=Watu wa Ashdodi walipoamka asubuhi na mapema kesho yake, kumbe, wakamkuta Dagoni ameanguka chini kifudifudi mbele ya Sanduku la \nd Bwana\nd*! Wakamwinua Dagoni na kumrudisha mahali pake. \¬v