\p \v=6 \v~=Mkono wa \nd Bwana\nd* ulikuwa mzito juu ya watu wa Ashdodi na vijiji jirani, akaleta uharibifu juu yao na kuwatesa kwa majipu. \¬v