\p \v=9 \v~=Lakini baada ya kulihamisha, mkono wa \nd Bwana\nd* ulikuwa dhidi ya huo mji wa Gathi, akiuweka katika fadhaa kuu. Mungu akawatesa watu wa huo mji, vijana kwa wazee, kwa kuwaletea majipu. \¬v