\v=15 \v~=Walawi walilishusha Sanduku la \nd Bwana\nd*, pamoja na lile kasha lililokuwa na vile vitu vya dhahabu na kuviweka juu ya ule mwamba mkubwa. Siku ile watu wa Beth-Shemeshi wakatoa sadaka za kuteketezwa na dhabihu kwa \nd Bwana\nd*. \¬v